MKOA wa Njombe umeshuka
kwa na fasi mbili ya ufauru wa wanafunzi katika matokeo ya darasa la saba
kutoka nafasi ya tano kitaifa na kushika nafasi ya saba na kushidhwa kufikia
malengo ya matokeo makubwa sasa (BRN)kwa kufikisha alilimia 66 badala ya 79%.
Alisema kuwa licha ya kupanda kwa 6.5% bado mkoa huo
haujafikia malengo ya BRN ya kitaifa kufikia alisima 79 na kuwataka maafisa
elimu wa ngazi zote mkoani humo kuhakikisha wanafikia malengo kwa kusimamia
maendeleo ya elimu.
Kwa upande wake katibu tawala wa mkoa wa Njombe Jackson
Saitabahu alisema kuwa ni jukumu la kila afisa elimu wa kila halmashauri
kuhakikisha elimu inasimamiwa kikamilifu ili kuleta maendeleo katika elimu na
kuhakikisha kiwango cha kufauru kinaongezeka.
Aida alitoa maelekezi kwa kila halmashauri kufanya kikao cha
tadhimini baada ya kikao hicho cha kupanga matokeo kwa kuhakikisha wanaangalia
ni wapi wanakosea ili kuhakikisha katika matokeo ya mwaka ujao kiwango
kinapanda na kufikia nafazi za juu klitaifa.
Alisema kuwa mkoa wa Njombe umewachukua watoto wote walio
pata alama 100 hadi 250 wanafuzi ambapo ni wanafunzi 11,389, wanatarajiwa kuingioa kidato cha
kwanza kwa mwaka huu na kuwa mkoa huo unajumla ya shule 480 na shule zilizo
fanya mtihani ni shule 455.