Katibu bavicha Taifa Patrick Ole Sosopi
Hapa John Mnyika pale Saulum Mwalimu Njombe hiyo
Wananchi nao kwa umakini Duh!!! huku wakilindwa na polisi hadi rahaaaaaaaaaaa!
Mwalimu alishusha Vitu kwa wana Njombe
Mwalimu akimkaribisha Mnyika jukwaani
Mnyika nae aliongea
CHADEMA Imewataka wananchi kote nchini kuhoji aliyeondoa
kifungu cha kumuwajibisha mbuge atakapo shindwa kufanya aliyo tumwa bungeni.
Akizungumza na melfu ya wakazi wa Mkoa wa Njombe, Naibu katibu mkuu bara John Mnyika alisema kuwa
CCM watakapo leta Katiba pendekezwa mbeleyao wawahoji walio ileta katiba hiyo
kuw ani nani aliye ondoa kifungu cha kuwabana wabunge ambao watahalibu kabla ya
kufikisha miaka mitano, na ninani aliyeondoa kifungu cha miaka ya ukomo wa
uongozi.
Hivyo alisema kuwa CCM wanavyo sema wanataka kutetea haki za
wananchi wanawadanganya kwa kuondoa kifungu hicho na kumshukia kinana kwa
kuzunguka nchi nzima na kusema kuwa serikali hii ina mawaziri mizigo,
Alisema kuwa wanawaziri mzigo wa maji, Waziri mzigo wa elimu
na ndio maana sasa kuna matokeo makubwa sasa badala yake kuna matokeo mabaya
sasa (Bad result Now) na kubadilisha madaja mpaka kuweka dalaja la tano na
wenye we CCM wanakili.
Alisema kuw awananchi walitaka mawaziri wawajibishwe
wakishindwa kusimamia miradi kama ya maji, Kilimo, Ya wanawake, Vijana CCM
wameondoa hicho kifungu kilicho pendekezwa na wananchi kwenye rasimu ya Jaji
Walioba na kupitisha katiba haramu.
Alisema katiba iliyopitishwa na na CCM inaendeleza mambo yale yale ya zamani,
na kusema kuwa amemsikia Katibu mkuu wa CCM Abdlahaman Kinana katika vyombo vya
habari akisema kuwa eti kwa sababu ya wafanyakazi wa umma kuwa na utendaji
mbovu watakuwa na mikataba mifupi ili kuwaondoa wale watakao oinekana kufanya
vibaya.
Naye Katibu msaidizi kwa upande za Zanzibar Salum Mwalimu, Alimshukia
Mwanaseria kuu wa Tanzania, Jaji Walema kwa kuhoji huharali wa maamuzi ya Jaji
mkuu wa Zanzibar kufuatia kupiga kura ya wazi ya hapana, na hapo ni maamuzi ya
wanzanzibar.
Alisema kuwa
wazanzibar hawajaumbw akwa uoga wala unafki na wao wanapenda kusimamia haki na
alisema anamwambia jaji Walema, ile kula ya hapana ni ya serikali na
asijisumbue kichwa.
Kwa upande wake Katubu Mkuu wa baraza la Vijana Chadema taifa
(Bavicha), Patrick Ole Sosopi alisema kuwa ili wananchi wabadilike kimaendeleo
ni lazima wakubali kubadilisha viongozi na maendeleo hayataweza kuja kutokana
na viongozi walewale wa zamani.
Alisemam kuwa elimu ambayo tuna ipata haoa nchini inatolewa
kwa mfumo wa kutafuta ajira na sio kujiajiri
na watoto wao wanapataelemu ja kujiaji na kuwa viongozi na kugusia Rais
na Mwanae Ridhiwani Kikwete.