Elimtaa na Vituko: MADENGE NAE

CONTACT WITH ELIMTAA BLOG BY: CALL :+255 788 056115 EMAIL: furahanews1@gmail.com Facebook: www.facebook.com/elimtaa Twitter: www.twitter.com/@elimtaa "ANY TIME CALL US FOR ADVERTISEMENT, OR ANY NEWS YOU WANT APPEAR TO Elimtaa Blog" Elimtaa 'more news update your mind'


MWALIMU Kaingia darasani na kusema. "Wanaojijua wajinga wasimame",
MADENGE, akasimama peke yake.
MWALIMU: Wewe ndio mjinga?.
MADENGE: hapana ila nimeona umesimama peke yako nikaona usijisikie vibaya nikaona angalau tuwe wawili...MWALIMU Kaingia darasani na kusema. "Wanaojijua wajinga wasimame",

MADENGE, akasimama peke yake.

MWALIMU: Wewe ndio mjinga?.

MADENGE: hapana ila nimeona umesimama peke yako 
nikaona usijisikie vibaya nikaona angalau tuwe wawili...

Related Posts