Kwa kiingereza Bofya hapa (For English CLICK HERE>>>>>>)
MAPYA yameibuka
mgogoro unaoendelea katika kanisa la moraviani Tanzania jimbo kusini
Magharibi baada ya wajumbe wa baraza la wakristo sharika jimbo hilo
kulitaka kamati kuu ya jimbo kuitisha Mkutano mkuu (Sinodi) kabla ya
Machi 3 mwaka huu.
Hayo yameibuka baada
ya kusimamishwa uongozi Mwenyekiti wa jimbo, Mchungaji Nosigwe Buya wiki
chache zilizopita na kumpatia kazi nyingine.
Akisoma maazimio
yaliyofikiwa na baraza la wajumbe wa wakristo wa jimbo Mwenyekiti wa
mabaraza ya wazee wa shirika chache, Frank Phili mbele ya Makamu
Mwenyekiti wa Kanisa la Moravia Jimbo la Kusini Magharibi Mchungaji,
Zacharia Sichone alisema, halmashauri kuu ya kanisa hilo iiteshe
mkutano mkuu wa Sinodi ili kuweka vizuri afya ya kanisa hilo.
Alisema kuwa japo kuwa
kikatiba ni miezi miwili lakini inatakiwa kuitishwa mapema ili
kurejesha amani kanisani na kusababisha mgongano na mgawanyiko uliopo
kuondoka.
Phili alisema kuwa
mbali na kuitisha mkutano huo pia kwa muda huu kabla ya mkutano shirika
zote hawatapeleka sanduku la maombezi (sadaka) la wilaya mpaka tatizo
hili litakapomalizika.
Alisema, mpaka
unafikiwa uamuzi wa kufukuzwa mwenyekiti taarifa ya tume ambayo iliundwa
kumchunguza haijawafikia waumini na tume imetekeleza maamuzi.
Aliongeza, kama
Mwenyekiti alikuwa na makosa ni bora angefukuzwa kabisa kuliko kumpa
kazi nyingine kama alishidwa kuongoza watu wazima atawezaje kuongoza
watoto ni kitu ambacho kimewapa wasiwasi.
Alisema kuwa
mwenyekiti huyo hana makosa ambayo yangesababisha kufukuzwa nafasi
aliyokuwa nayo na kumpangia kazi nyingine na wenye makosa ni makamu
mwenyekiti na Katibu mkuu wa halmashauri ya kanisa hilo.
Akijibu tuhuma za
wajumbe hao wa baraza la wakristo kaimu mwenyekiti, Sichone alisema kuwa
wawe watulivu na ujumbe wao watakaa na kuutekeleza.
Wawe na amani kwa muda
huu mfupi wakati wanaendelea kulifanyia kazi suala hilo na kuto
wasikiliza kwa wakati na kutotoa taarifa ya kamati ya uchunguzi
hawakuwadharau.
Hivi karibuni katika
kanisa hilo kumetokea mgawanyiko mkubwa kufuatia kufukuzwa cheo cha
uwenyekiti wa kanisa hilo Mchungaji, Buya na kumpangia kazi nyingine.
Kufuatia sakata hilo
pia wajumbe hao waliutaka uongozi wa kanisa hilo kuto muondoa Mwenyekiti
katika nyumba aliyokuwa akiishi mpaka kutakapo tatuliwa tatizo hilo.
Kwa upande wao
wajumbe katika baraza hilo la wakristo wa shirika mbalimbali walisema
kuwa wao kama waumini wanaumia kuona kuna mgawanyiko katika kanisa lao
na kuwa wao wakristo ndio wenye kanisa bila wakristo wachungaji hawana
tija.
***************
(NEW emerged ongoing conflict in the church Moravian
province southwest Tanzania after council members of Christian congregations
require any region of the state central committee to convene a general meeting
(Synod) before March 3 this year .
This emerged following the suspension of the state
leadership chairman, Pastor Nosigwe Buya few weeks ago and gave him another
job.
Reading resolutions reached by the council of members of
the Christian state chairman of the council of elders of the organization a few
, Frank Phili before the Vice Chairman of the Church of Moravia State of South
West Shepherd, Zacharia Sichone said, the central committee of the church
iiteshe general assembly of the Synod to keep good health of the church.
He said that even though there is a constitutional two
months but should be convened early in order to restore peace in church and
cause conflict and division that exists leave.
Phili said to be away from the meeting also during this
time before all organization meeting will not send a box of petitions (offering
) of districts litakapomalizika to this problem .
That said, until you reached the decision of expulsion
chairman reported the observation of a commission that was created to reach
believers and the commission has implemented the decision.
He added, as chairman he was wrong is the best he
dismissed entirely than give another job if he failed to guide how will the
adults guide children is something that provided opportunities for concern.
He said that the chairman has no errors that would lead to
expulsion opportunity kumpangia had with other work and the error is vice
chairman and general secretary of the church council .
Responding to allegations of such members of the Council
of Christians acting chairman , said that Sichone be calm and they shall dwell
message and act on it.
Be at peace in such a short time while they continue to
have to work on the issue and inactivity to pay and withhold information during
the committee's investigation did not look down.
Recently in the church is now a reality greater division
title following the expulsion of the Chairmanship of the church pastor, Buya and
Give other functions.
Following the saga that they were also members of the
church leadership wanted inactivity removed the Chairman in the house she was
living until and if they resolved the problem.
For their part in the council members of different
organizational Christians said that they suffer as believers see no division in
their church and that they are Christians with no Christian church pastors do
not have productivity.)