Kiungo wa ulinzi wa
timu ya Young Africans Athuman IddI Athuman ‘Chuji’ amerejeshwa kundini kuungana
na wachezaji wenzake baada ya awali kuwa amesimamishwa na uongozi kutona na
kitendo cha utovu wa nidhamu aliouonyesha mwishoni mwa mwaka jana.
Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto amethibitisha hilo. Chuji alisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
MAHAKAMA YA KENYA
YAMFUNDISHA ADABU MCHINA ALIYEKAMATWA NA PEMBE ZA NDOVU
Written By umar makoo on Tuesday, January 28, 2014 | 11:29 AM
Mahakama nchini Kenya imemtoza faini ya shilingi milioni 20 au dola laki
mbili na thelathini raia mmoja mchina kwa kuhusika na biashara haramu
ya pembe za ndovu.
Tang Yong Jian ametozwa faini ya dola laki mbili na thelathini
Adhabu hii inatokana na sheria kali za kudhibiti uwindaji wa wanyama
pori.
Tang Yong Jian alikamatwa wiki jana akiwa na Pembe za Ndovu zenye kilo
3.4 katika sanduku lake katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo
Kenyatta.
Ikiwa atashindwa kulipa faini hiyo huenda akafungwa miaka saba gerezani.
Kenya iliharamisha biashara ya pembe za Ndovu mwaka 1989, lakini
kumekuwa na ongezeko la biashara hiyo haramu katika miaka ya hivi
karibuni.
Kuna hitaji kubwa la pembe hizo barani Asia kwa matumizi ya mapambo huku
wahifadhi wa mazingira wakishuku kuwa pembe za Vifaru hutumiwa kama
dawa Mashariki mwa Bara Asia.
Kenya inakabiliwa na changamoto ya kuwindwa kiharamu kwa Ndovu zake
Nchini Kenya kilo moja ya Pembe za Ndovu, inaweza kukugharimu kati ya
shilingi 12,000-18,000.
Uwindaji haramu umetajwa kama bishara haramu ya kimataifa ambapo
wawindaji hasa huwawinda ndovu na vifaru kwa wingi. Ni hapo jana tu
ambapo kifaru mmoja aliyetambulika kwa jina Josephina, aliuawa katika
mbuga ya wanyama ya Nairobi.

Alikuwa kifaru wa kike mwenye umri wa miaka minne. Maafisa wa kulinda
wanyama pori wanasema kuwa, kuuawa kwa Joeshina ni mfano mbaya kwani
Vifaru wa kike wana umuhimu mkubwa katika kuongeza idadi ya wanyama hao
wanapozaana.
Kwa muda wa wiki moja nchini Kenya, kimeripotiwa matukio manne ya
uwindaji haramu katika mbuga tofauti tofauti.
Mkuu wa shirika la kulinda wanyama pori nchini Kenya, bwana William
Kipsang, anasema kuwa tatizo la uwindaji linachangiwa na maswala ambayo
hawawezi kudhibiti kama shirika.
''Serikali ya Kenya imetumia mamilioni ya fedha kuhifadhi wanyama pori ,
lakini nchini Kenya na kwingineko barani Afrika raia wengi wangependa
kuona usalama wa binadamu ukishughulikiwa kwanza badala ya wanyama pori.
Vile vile watu wengi huishi katika miji iliyo mbali na misitu na
wanyama hao,'' alisema Kipsang
Mashirika ya kulinda wanyama wanasema ikiwa tatizo la uwindaji haramu
halitatatuliwa, basi kwa muda wa miaka ishirini, ndovu na vifaru barani
Afrika hawatokuwepo tena.
Asilimia kumi ya uchumi wa Kenya hutegemea utalii, ikiwa Kenya itapoteza
Ndovu na vifaru wake, basi sekta ya utalii itaathirika pakubwa.
Original from: http://googlehabari.blogspot.com/2014/01/mahakama-ya-kenya-yamfundisha-adabu.html
Copyright EXEIdeas - All Rights Reserved