UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 13/01/2014



WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 13/01/2014.

[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Morogoro na Ruvuma]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:


Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mkoa wa Mara]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Kagera]:

Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

TAHADHARI:
  1. UPEPO MKALI NA MAWIBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

  1. MVUA KUBWA INATARAJIWA KATIKA MAENEO YA RUKWA, MBEYA, NJOMBE, RUVUMA, MTWARA NA MOROGORO KUSINI.TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C
14°C
12:34
12:46
D'SALAAM
34°C
26°C
12:17
12:43
DODOMA
30°C
20°C
12:32
12:56
KIGOMA
27°C
19°C
12:57
01:19
MBEYA
23°C
15°C
12:36
01:10
MWANZA
27°C
18°C
12:49
01:00
TABORA
27°C
18°C
12:45
01:07
TANGA
32°C
25°C
12:20
12:42
ZANZIBAR
33°C
25°C
12:17
12:43

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saakutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani
ya Kaskazinna kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 15/01/2014Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 13/01/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.