- HIVI NDIVYO WATUHUMIWA WALIVYO FIKISHWA MAHAKAMANI NA KUTOKA KATIKA PICHA
- ULIZI ULIKUWA MKALI
- KALI WALIYO TUMIA NAYO IPO
| Ulinzi mkali wa jeshi la polisi Mbeya ukisindikiza washitakiwa ujambazi kuingia katika Mahakama Kuu kanda ya Mbeya |
| Gali iliyo tumika kuwaleta washitakiwa hao wa kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha a.k.a ujambazi |
| Askali wakishuka karika gari ya ulizi wa kuwaleta washitakiwa hao mahakamani |
| Wahitakiwa wakiwa katika Pozi mbalimbali za kuficha nyuso zao kwa kuogopa picha |
| Washitakiwa wakiwa mahakamani mda mfupi baada ya kuingia mahakamani hapo majira ya saa 7 mchana jana |
| Hawa ni baadhi ya watu waliokuwepo mahakamani wakiwa tayari kwa kusikiliza kesi hiyo yenye msisimuko wake |
| Hii ni gari inayo daiwa kuhusika katika tukio la utekaji |
| Washitakiwa wakiwa wanatika katika kizimba |
Kwa habari inayo husiana na Kesi yao Bofya hapa
