Jumuiya ya madaktari wa marekani imetoa majibu ya vyanzo vya cancer

Jumuiya ya madaktari wa marekani imetoa majibu ya vyanzo vya cancer
1.usinywe chai kwenye vikombe vya plastic
2.usile chochote chenye moto mfano;chipsi ilyo kwenye mfuko wa plastic
3.usipashe vyakula kwenye macrowave kwa kutumia chombo cha plastic, pamoja na kukausha wali kwa mifuko ya rambo, plastic ikikutana na joto inatoa kemikali inayosababisha aina 52 za cancer.
wafahamishe wote uwapendao na kuwajali hasa wakati huu wa 2014 ili waepukane na madhara ya cancer
"It might be a joke"