WIZARA
YA UCHUKUZI
MAMLAKA
YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.
email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA
KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE
10/01/2014.
[Mikoa
ya Morogoro (Kusini na Ruvuma]: [Mikoa ya Iringa, Mbeya na
Rukwa]:
|
|
Hali
ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi
vifupi vya jua.
|
[Mikoa
ya Mwanza, Kagera na Shinyanga]:
[Mikoa
ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Kigoma na
Tabora]:
|
|
|
[Mkoa wa Mara]: |
|
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua. |
[Mikoa
ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa
ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa
wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa
vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na
Mtwara]:
|
|
Hali ya
Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA
JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA |
30°C
|
15°C
|
12:34
|
12:46
|
D'SALAAM |
33°C
|
26°C
|
12:17
|
12:43
|
DODOMA |
29°C
|
20°C
|
12:32
|
12:56
|
KIGOMA |
28°C
|
21°C
|
12:57
|
01:19
|
MBEYA |
22°C
|
13°C
|
12:36
|
01:10
|
MWANZA |
25°C
|
17°C
|
12:49
|
01:00
|
TABORA |
27°C
|
19°C
|
12:45
|
01:07
|
TANGA |
32°C
|
25°C
|
12:20
|
12:42
|
ZANZIBAR |
33°C
|
26°C
|
12:17
|
12:43
|
Upepo
wa Pwani:Unatarajiwa
kuvuma
kwa kasi ya km
30
kwa
saa;
kutoka
Kaskazini-Mashariki kwa
Pwani ya
Kaskazini
na
kutoka
Kaskazini kwa
Pwani ya Kusini.
Hali
ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi
Makubwa Kiasi.
Matazamio
kwa siku ya Jumapili:12/01/2014:
Mabadiliko kidogo
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 10/01/2014.
Na:
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.