Katika uchaguzi huo, Mbatia alikuwa akichuana kwa mbali na aliyekuwa Kamishna wa chama hicho
mkoa wa Katavi Charles Makofila na mpaka mwisho Mbatia ameshinda kwa kura 201 huku Makofila
akiambulia kura 26 na kura moja ikiharibika.
Habari Online na Elimtaa
Siasa
ziara siasa
HAYA NDIO MATOKEO YA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA CHAMA MAARUFU CHA UPINZANI NCHINI JANA LIVE!!
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
