Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi. Rukia Mohamed
Issa,kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma,katika hafla
iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Bw.Ahmad Kassim Haji
Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Bi. Rukia Mohamed Issa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ahmad Kassim Haji,
kuwa Naibu Katibu Mkuu ,Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Picha na Ramadhan Othman Ikulu
STATE HOUSE ZANZIBAR
OFFICE OF THE PRESS SECRETARY
PRESS RELEASE
Zanzibar 20 Januari, 2014
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
leo amewaapisha Nd. Ahmed Kassim Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais na Bibi Rukia Mohamed Issa kuwa Mjumbe wa
Kamisheni ya Utumishi wa Umma nchini.
Kuapishwa
kwa watendaji hao kunafuatia uteuzi wao uliofanyika hivi karibuni
ambapo Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
alimteua pia Dk. Mohamed Seif Khatib kuwa Mwenyekiti wa Baraza la
Kiswahili Zanzibar.
Na Zanzinews