| KINANA ALIVALISHWA VAZI LA KISAFWA NA VIONGOZI WA KISAFWA JIJINI MBEYA |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (Shati ya Kaki) Meya wajiji la Mbeya Athanas kapunga (Upande wa kulia kwa mkuu wa Mkoa) |
| Mary Mwanjelwa anayezungunza na Shambwe Shitambara kulia na Katikati John Bukuku Mmiliki wa Mtandao wa Fullshangwe |
Hao ndio baadhi ya viongozi mkoani Mbeya ambao kamera ya Elimtaa iliwatia katika lensi yake.
