Kutokana na Umaarufu wa Tata Madiba watu wachache wataruhusiwa kufika eneo ambapo atazikwa baada ya kumarizika kwa ibada.
Baadhi ya watu watakao ruhusiwa kufika katika shehemu atakayo zikwa Tata Madiba Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Atakuwepo, Fist Lady wa Tanzania Mama Maria Nyerere, na Viongozi Mbalimbali kutoka katika mataifa ya hapa Ulimwenguni walio hudhulika katika mazishi hayo.
viongozo wa dini watakuwa 15 kati ya hao watu watakao kuwa jumla ya 450 watakao fika katika eneo ya milima ya Qunu Nchini humo.
Rest In Peace Tata Mandara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kiongozi wa kikosi cha jeshi linalo husika na mazishi akitoa utaratibu
Jendeza la Hayati Madiba likiondolewa katika ukumbi wa maombezi
Viongozi wa Dini wakeelekea sehemu anakozikwa Mandela
Na Elimtaa