Nelson Mandela alichaguliwa kuwa rais wa kwanza mwafrika mweusi wa Afrika Kusini,baada ya vita vya muda mrefu dhidi ya utawala wa kizungu. |
![]() |
Nelson na Winnie walioana mwaka 1958 lakini hawakufurahia maisha yao ya ndoa kwani wote walikuwa wakikamatwa mara kwa mara. |
![]() |
Kufuatia kesi ya pili ya uhaini dhidi ya Mandela, alifungwa maisha jela mwaka 1964 |
![]() |
Sura ya Mandela ikawa sasa iishara ya kampeini hiyo kote duniani |
![]() |
Hatimaye zaidi ya miaka ishirini baada ya kufungwa jela, Mandela aliachiliwa mwaka 1990. |
![]() |
Mashauriano makubwa yalifanyika kabla ya rais FW de Klerk kukubali au kuruhusu watu kupiga kura. Wawili hao walituzwa tuzo ya amani ya Nobbel, kwa sababu ya kumaliza ubaguzi wa rangi Afrika Kusini |
![]() |
Mwaka 2004, akiwa na umri wa miaka 85, Mandela alistaafu kutoka majukumu ya umma ili kuwa na muda na faimlia yake pamoja na marafiki zake |
![]() |
Mwaka 2004, akiwa na umri wa miaka 85, Mandela alistaafu kutoka majukumu ya umma ili kuwa na muda na faimlia yake pamoja na marafiki zake |
Kama kijana, Mandela alipenda masumbwi. ''Masumbwi ni bure, Ukiwa ulingoni , umri na hadhi yako pamoja na mali yako sio muhumu,'' aliandika katika kitabu chake kuhusu maisha yake |
Alizaliwa mkoani Eastern Cape, lakini baadaye akatorokea mjini Johannesburg ambako alifanikiwa kuwa mwakili na kujiunga na haratakati za chama cha ANC dhidi ya utawala wa kizungu. |