SHIRIKA
la umeme nchini Tanesco limesema kuwa linalishikilia gari lililo sababisha
kuanguka kwa nguzo nne za umeme jijini Dar es Salaam jana.
Akizungumza
na waandishi wa habari wakati wa kutoa taarifa ya maendeleo ya marekebisho ya
visima vya gesi ya asili mkurugenzi Mtendaji wa shurika hilo Felichesmi Mramba,
alisema kuwa watalishiria gari hilo mpapa litakapo lipa nguzo hizo.
Alisema
kuwa mmiliki wa gari hiyo anapashwa kulipa nguzo hizo na ili kulipata galilake
na asipo fanya hivyo Tanesco ilaliuza kwa mnada gali hiyo.
“Tutaliuza
gari hilo tunalolishikiria kwa kuziangusha nguzo nne za umeme maeno ya
Michocheni na kusababisha katizo la umeme ka baadhi ya maeneo ili tanesco
kufidia hasala iliyo pata baada ya kuzirekebisha nguzo hizo.
Alisema
kuwa jeshi la polisi halitakubaliana kuingia hasara kwa uzembe wa watu wengine
na litahakikisha nguzo hiyo inalipwa.
