KAZI NA SIMU KIPI BORA
ASKARI
HUYU ALIKUTWA NA Lyamba Lya Mfipa akiwa amesahau wajibu wake wa
kuhakikisha usalama wa raia na mali zao hasa fedha katika kituo chake
cha kazi cha Benki ya CRDB tawi la Mbeya mjini jijini Mbeya.Kwake simu ni
muhimu kuliko kazi aliyopewa hapa.Namba yake iliyosomwa katika sare yake
tunaihifadhi
picha na Lyamba lya mfipa Blog