Habari katika Picha
Jumla
ya mgambo 112 walihitimu mafunzo hayo jana kati ya 500 walioandikishwa
ambapo kati ya wahitimu hao 85 ni wavulana na 27 wasichana wengi wao
wakiwa ni wanaofanya kazi katika makampuni binafsi ya ulinzi ambao
waliingia katika ajira hiyo awali bila kuwa na mafunzo ya aina yoyote.
(Picha na Joachim Nyambo)