WALIOSHIRIKI SEMINA YA HAKI ZA BINADAMU

Hapa kuna Solomoni Mwansele 'Uhuru', Meshark Nyavike'Mstaafu' na Marry Mwaisenye, 'Mwananchi'

Kulia Ulimboka Mwakilili 'Mstaafu' Kushoto Bosco Nyambege 'Ilasi Fm' 

Kuanzia kulia Jackson Numbi 'Mwananchi, Generation Fm', Richard  Kirumbo 'Mwananchi', Amani Mbilo 'Bomba Fm', Gabriel Kandonga 'Mwanachama MBPC', Marry Sanga, 'Ushindi Fm'

Kuanzia Kushoto Patrick Kosima 'Mwanachama Mbpc', Modestus Nkulu  'Makamu mwenyekiti Mbpc' Lukas Malangalila 'Mstaafu'

Muwezeshaji, Juma Thomas 'Mwanaseria na mwandishi' 

Washiliki wa mafunzo kwakiwa makini kumfuatilia muwezeshaji