MWALIMU TUHUMANI KUBAKA WATOTO WAWILI


WATOTO wawili wa kidato cha nne katika shule ya Mountfort, wilayani wamedaiwa kubakwa na mwalimu wao ambaye alikuwa anafundisha shule hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari Kananda wa Polisi Mkoa MbeyaDiwani Athuman alisema kuwa tukioa hilo lilitokea juzi kakima majira tofauti ya usiku.

Akisimulia tukio hilo alisema kuwa mwalimu, Andrew Shadraki katika majira tofauti aliwabaka wanafunzi wanafunzi wawili wa shule ya Mountfort ya wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

Alisema kuwa Mwalimu huyo aliyekuwa akifundisha katika shule hiyo masomo ya mawili katika shule hiyo kabla ya kuhamia shule ya Mwembeni wilayani Musoma Mkoani Mara.

Tukio hilo lilitokea mara baada ya mwalimu huyo kumuita mwanafuzi aliye kuwa kujisomea majira saa 9:30 na kasha kumfanyia unyama huo.

Alisema mara baada ya kumfanyia unyama mtoto huyo wa miaka 17 alimwita mwanafunzi mwingine katika akiwa Bwenini kwake anapumzika majira ya saa 4:00 na kisha kumbaka naye pia.


Alisema kuwa mwalimu huyo anashikiliwa na jeshi la Polisi na taratibu za kumfikisha katika vyombo vya sheria ili kujitu tuhuma hizo.

Aliongeza kuwa mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani jana kwaajili ya kusomewa kuhusiana na tuhuma zinazo mkabiri.