KIWOHEDE WAKIWA KATIKA MAJADILIANO NA WATOTO



 
WATOTO wameiomba serikali kutunga sheria itakakutoa adhabu kali kwa wanaofanya vitendo vya kikatili kwa watoto na ubakaji ili kuwapo kwa usawa. 

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakiwa katika majadiliano juu ya nini kifanyike ili kuondoa watoto wa mitaaani yaliyo andaliwa na shirika la Kiwohede na kulingana na wingi wa watoto kufuatia tafiti iliyo fanywa na Unicef mwa ka 2012.

Watoto hao kutoka katika shule mbalimbali za jijini Mbeya ambao wengi wao wanaisha katika mazingira magumu ya manyanyaso kutokana na familiazao kutengana huke wengine wakiishi na ndugu zao.
Walisema kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na kuishi katika mazingira ambayo yanakatishatamaa ya kuendelea na masomo.

Mmoja wa watoto hao aliye fahamika kwa jina la Joice Malopa ambaye ni mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Mbeya alisema kuwa serikali inatakiwa kutunga sheria kali zitakazo wabana wazazi wanao wanyanyasa watoto.

Watoto hao walisema kuwa kumekuwa na walezi wanao wanyanyasha kwa kutowapatia chakula ama kwa kuwapa mlo mmoja kitukinacho sababisha wanyanyasike.

Kwa upande wa maafisa wa Polisi dawati la jinsia na watoto Mkoani Mbeya walioshiriki katika majadiliano hayo walisema kuwa serikali ina mkono mrefu na ipo tayali kutatua matatizo hayo kama wataripoti kwa wakati kuhusiana na matatizo yao ya manyanyaso.

Afisa wa dawati hilo Afande Podensiana alisema alisema kuwa watoto wanapashwa kupatiwa kaki zao zote ikiwa ni pamoja na kupelekwa shule na kupatiwa matibabu wasipo fanyiwa hivyo wanakuwa wamenyanyaswa.

Alisema kuwa mtoto akitukanwa anakuwa amefanyiwa unyanyasaji hivyo anapashwa kutoa taarifa na kuwa watoto wao wanawajibu wa kujilinda na maeneo hatarishi yanayo weza kusababisha kutokea kwa unyanasaji ama ukatili.

Watoto pia walitoa mapendekezo mbalimbali yanayo takiwa kufanywa na serikali ikiwemo kuongezwa kwa zahanati, na kutunza watoto wanao ishi na maambukizi ya VVU, na kutoa kinga kwa wakinamama wenye ujauzito ya kumkinga mtoto dhidi ya maambukizi ya VVU na Ukimwi.

Hivyo watoto walisema kuwa serikali inatakiwa kuweka dawati maarumu litakalo wasaidia kutoa maoni yao mbalimbali na kupitia dawati hilo watapata fulsa ya kuishauri serikali juu ya nini wanataka wafanyiwe.

1 comments:

Hello from France
I am very happy to welcome you!
Your blog has been accepted in Africa Tanzania _____N°18 a minute!

On the right side, in the "green list", you will find all the countries and if you click them, you will find the names of blogs from that Country.
Invite your friends to join us in the "directory"!
The creation of this new blog "directory" allows a rapprochement between different countries, a knowledge of different cultures and a sharing of different traditions, passions, fashion, paintings, crafts, cooking,
photography and poetry. So you will be able to find in different countries other people with passions similar to your ones.
We are fortunate to be on the Blogspot platform that offers the opportunity to speak to the world.
The more people will join, the more opportunities everyone will have. And yes, I confess, I need people to know this blog!
You are in some way the Ambassador of this blog in your Country.
This is not a personal blog, I created it for all to enjoy.
SO, you also have to make it known to your contacts and friends in your blog domain: the success of this blog depends on all Participants.
So, during your next comments with your friends, ask them to come in the 'Directory' by writing in your comments:
*** I am in the directory come join me! ***
You want this directory to become more important? Help me to make it grow up!
Your blog is in the list Africa Tanzania _____N°18 and I hope this list will grow very quickly
Regards
Chris
We ask that you follow our blog and place a badge of your choice on your blog, in order to introduce the "directory" to your friends.
http://nsm05.casimages.com/img/2012/09/06/12090603083012502810288938.gif
http://nsm05.casimages.com/img/2012/03/19/120319072128505749603643.gif
http://nsm05.casimages.com/img/2012/07/12/12071211040212502810092867.gif
http://nsm05.casimages.com/img/2012/03/28/120328020518505749640557.gif
http://nsm05.casimages.com/img/2012/03/15/1203150723211250289584870.png
http://nsm05.casimages.com/img/2012/09/21/12092110155912502810343002.gif

If you want me to know the blog of your friends, send me their urls which allows a special badge in the list of your country
I see that you know many people in your country, you can try to get them in the directory?
Please! Actively support the "Directory" by making known to your friends! Thank you! "Unity is strength"
Not need an invitation to join the Directory. Any person who makes the request is entered
**************
New on the site
Ranking of Countries
Invite your friends know made ??
the website to raise your ranking in the Country