|
Mkurugezi mtendaji wa Kiwohede Justa Mwaituka a.k.a Mama J |
TAASISI ya Kiwohede yafanya utafiti
juu ya mikakati ya kuhakikisha watoto wa mitaanio wanapungua ama
kutoweka kabisa katika majiji na kuopatiwa haki zao.
Hii ni kutokana na ongezeko la watoto wa mitaani na changamoto za ukuaji wa Miji.
|
HIVI ndivyo mambo yalivyo kuwa katika majadiliano kati ya
wakuu wa idara watendaji kutoka katika kata nane za jiji la Mbeya katika Picha.
Majadiliano hayo yalilenga katika mambo mbalimbali juu ya
kuboresha haki za mtoto kufuatia ukuaji
wa miji hapa nchini kufuatia utafiti uliofanywa na Unicef na Kiwohede pamoja na taasisi zingene kati ya mwaka 2011
na 2012.
|
|
Mratibu elimu Kata ya Mabatini jijini Mbeya, Bi Anna Katage
|
|
Baadhi ya washiriki katika mjadara huo |
|
Mama Mwanjisi Mshiriki akitoa maada |
|
Diwani kata ya NzovweDavid Mwashilindi akiwasilisha yake katika kutetea haki za mtoto na ukuaji wa majiji |
|
|
washiriki |
|
Afande Podensiana wa Dawati la Jinsia na watoto Polisi Mbeyaakieleza jinsi wanavyo pambana na watu wanao nyanyasa watoto |
|
Roda Angetile afisa maeneleo ya jamii kata ya Mwakibete |
|
Halsoni Seme akielezea jinsi watoto wanavyo takiwa kufanyiwa ili kupunguza watoto wa mitaani |
|
Bi Roda akisikiliza kwa makini mjadala |
|
Mmoja wa makodineta akifanya rekording ya mjadala |
|
Mkuu wa kituo cha Kiwohede tawi la Mbeya |
|
Kodineta akinukuu baadhi ya vitu vilivyo kuwa vikiendelea |
|
wamama kutoka dawati la jinsia na watoto la Polisi Mbeya |
|
washiriki |
|
Mgeni Rasmi (Kushoto) afisamaendeleo ya jamii jiji Msola akiwa na mkurugezni wa Kiwohede Tanzania Bi Justa a.k.a Mama J |
|
Mgeni rasmi akifungua majadiliano katika Ukumi wa OTU jijini Mbeya |
|
Picha ya pamoja ya washiriki wa majadiliano wakiwa ni maafisa mbalimbali kutoka katika jiji la Mbeya wakiwa wamekusanywa na Kiwohede |
Ulifika wakati wa majadiliano yalikuwa kama ifuatavyo katika makundi mbalimbali kwa picha
ulifika wakati wa kuwasilisha kile kilicho jadiliwa katika makundi na ilikuwa hivi kwa mfumo wa picha
|
Diwani kata ya Mwakibede akiwasilisha maada iliyo jadiliwa katika kundi lao |
|
Diwali kata ya Nzovwe nae aliwakilisha maada ya kundi lao |
|
|
Afande Mary Gumbo akiwasiliasha maada ya kudi lao waliyo jadili |
|
Hapa ndio ilifika mwisho wa majadiliani na afisa mtendaji wa kata ya Iyela, Saji Almas alipata nafasi ya kufunga majadala ambao unatarajiwa kuzaanatunda |
Kwa habari usikose kutembelea Elimtaa na
Bofya hapa
Picha zote
Eliabu Mtaani (Elimtaa)
Je wataka kufanyiwa kavaraje ya picha kama hii wasiliana na Elimtaa kwa Simu
0753321191