KENYATTA QAWATAKA WAKENYA KURUDI KAZINI NA KUENDELEA KULIJENGA TAIFA
AWASHUKURU WAKENYA KWA KUMCHAGUA, ASEMA ATATIMIZA AHADI ZOTE ALIZO ZIAHIDI WAKATI WA KAMPENI NA HASA KENYA IKIWA INATIMIZA MIAKA 50 TANGU KUPATA UCAGUZI.
AMESEMA ATAWEKA MAZINGIRA SALAMA KWA WAKENYA HASA WALE WA MIPAKANI,
ATAONGEZA MIONDOMBIMU YA NCHINI HAPO NA KUZALISHA AJIRA KWA WAKENYA, AMELENGA UONGEZA UZARISHAJI MDOGO MDOGO
AMESEMA AMEWAAIBISHA WALE WOTE WALOTARAJIA KUTAKUWA NA VURUGU NCHINI HUMO,
WAKENYA WANAPASWA KUJUA KUWA UCHAGUZI SIO UADUI AMEWAALIKA WALE WALO KUWA WANASHINDANA NAO KATIKA UCHAGUZI KUENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA KENYA, USHIDI UTAKUWA WAKENYA YOTE, PIA WAKENYA WARUDI KAZI NI KAMA KAWAIDA NA WAEPUSHE TOFAUTI.
PIA ALIMSHUKURU MWESHIMIWA KIBAKI KWA KUIFIKISHA KENYA HAPO ILIPO FIKA KWA UONGOZI WAKE WA MIAKA KUMI.