WAANDISHI wa habari mkoani
Mbeya wametakiwa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi kwa kutoa taarifa mbalimbali
ili kupambana na uhalifu
Akizungumza na waandishi wa
habari ofisini kwake, kamanda wa polisi mkoani Mbeya, Diwani Athumani
amesema kuwa wanaweza kupiga
simu moja kwa
moja kwake ili kuthisha matukio mbalimbali
wanakutana nayo waandishi.
Aidha amesema
matarajio yake ni
kuhakikisha Mbeya kunakuwa
na amani
na utulivu katika kuleta
maendeleo pia amesema kuwa kwa
kushirikiana na jeshi
la polisi atahakikisha
wahalifu wote wanashikiliwa.
