MEI 3 WAANDISHI WA HABARI KUAZIMISHA SIKU YAO YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

WANANHISHI wa habari katika kusheherekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari mkoani Mbeya kesho watakutana na mkuu wa mkoa pamoja na baadhi ya wazee wa heshima.


waandishi watakutana na wazee katika kujadiri mambo yanayohusu mkoa wa Mbeya na tanzania kwaujumla.

wanahabari watakutana katika ukumbi mmoja hivi maeneo ya Ilomba jijini Mbeya wakisheherekea. 


Sherehe hizi zimekuwa zikifanya kila mwaka ifikapo mei 3


CHRISTOPHER NYANYEMBE M/kiti wa Mbeya press club