PINDA ATOA POLE KIFO CHA KANUMBA

 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akimpa pole, Flora Mtegoa ambaye ni mama mzazi wa msanii mahiri wa filamu nchini, Steven Kanumba, aliyekufa usiku wa kuamkia Jumamosi, Dar es Salaam. Waziri Mkuu alikwenda nyumbani kwa Kanumba, Sinza Vatican jijini Dar es Salaam kuijulia hali familia ya msanii huyo. (Picha na Evance Ng’ingo) .