Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abass Kandoro akihimiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari ofini kwake leo.
Baaadhi ya waandishi wa Habari wakiwa wana msikiliza kwa umakini mkuu wa Mkoa.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa wameketi wakati wa kikao cha Mkuu wa mkoa.
Mwandishi wa habari Mwakyembe Felix akiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wakiwa wanasikiliza na wengine waki andika mambo Muhimu.