KUFANYA HIVI NI SAWA

Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Sangu muda huu akiwa anavizia Gari hilo la Mizigo ili apate unafuu wa kupandisha mlima
 Hapa akiwa anakaribia kabisa kulifika Gari hilo kubwa la Mizigo ili apate unafuu huo wa kupandisha Mlima 
Kesha pata nafasi na sasa Bila shida hata hapigi tena Peda Gari la mizigo lina mpa tafu ya nguvu 


Hatari kubwa kwa waendesha Baiskeri  hasa pale wanapo amua kujitaftia njia nyepesi za ya kupandisha milima ikiwa ni pamoja na kupata Lifti kupitia kudandia magari makubwa kwa nyumba kitendo ambacho ni hatari sana kwa usalama wa Bara barani. Wahusika wa usalama barabarani wanatakiwa kulitazama hili swala kwa ukaribu kabisa.

Je Hii ni sahihi?