WANASAYANSI wamegundua aina nyingine ya sayari ambayo ni kubwa kuliko Dunia na ndogo sana kuliko Uranus.
Kwa mara ya kwanza waliigundua Desemba 2009, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NASA Hubble Space Telescope ina sema sayari hiyo inaitwa GJ 1214b imezingirwa na maji, na anga lake ni nene.
"GJ 1214b is like no planet we know of," study lead author Zachory Berta of the Harvard-Smithsonian Center for Astrophysics in Cambridge, Mass., said in a statement. "A huge fraction of its mass is made up of water."