SOKO LA KISASA MWANJELWA BADO NI KITENDAWILI

 

HAYA NI BAADHI YA MAENEO YA UJENZI WA SOKO LA KISASA LA MWANJELWA MKOANI MBEYA
HAPA NI NJE YA JENGO LA SOKO LA KIMATAIFA LA MWANJELWA LINALOENDELEA KUJENGWA KWA KUSUASUA
Mkurugenzi wa jiji la mbeya  Juma Idi
SOKO jipya la Mwanjelwa lililoanza kujengwa Februari 25,2010 ujenzi  huo unatarajiwa kukamilika mwezi Desemba 2012 badala ya ujenzi huo  kukamilika Agosti 24,2011.