BODABODA wamelalamikia mamraka ya mapato (TRA) Mbeya kwa kuwatoza kodi
ya mapato kiwango kikubwa cha Sh 95,000 kwa mwaka sawa na watu
wanaoendesha Taxes.
Akizungunza na TAIFA LETU mwanzoni mwa wiki, Mwenyekiti wa madereva
wa pikipiki maarufu (bodaboda) Vicent Mwashoma, alisema wamekuwa
wakitozwa kiwango kikubwa cha shilingi 95,000 kwa mwaka ambapo ni
sawa na wale wanao endesha biashara ya Taxes, na kuongeza kuwa
waendesha biashara hiyo hiyo ya bodaboda wilayani Kyeya wana tozwa Sh.
35,000.
Alisema kuwa mekuwa wakisumbuliwa na mamraka hiyo kwa kukamata
pikipiki zao kwa wale ambao bado hawajalipa kodi hiyo ya mapato ya
ambayo ni kubwa kulingana na biashara wanayoifanya na inawaigizia
kipato kidogo.
Vicent alisema wamekuwa na kodi nyingi wanazotozwa na kufikia kiasi
cha shilingi laki 4 kwa mwaka wakijumululisha kodi zote ikiwemo na
zile za ushuru wa maegesho.
Alisema watu wa ushuru wa maegesho wamekuwa wakitoa sh. 300 kwa siku
ambapo pidi watakapo chelewa kulipa wamekuwa wakilipishwa asilimia 50
ya ushuru wa kawaida kama faini ya kuchelewa kulipa ushuru huo.
Ukijumlisha na faini hiyo ni sh. 450 ambayo ilitakiwa walipe lakini
wanalipishwa faini y ash. 50,000, faini hiyo ya sh 50,000 ipo kwaajili
ya watu watakao goma kulipa faini ya kawaida ya kawaida ya sh 450 kwa
waliochelewa kulipa.
Faini ya sh. 50,000 imekuwa ikiwaumiza wafanya biashara hao
wadogowadogo wa biashara ya bodaboda ambayo si halali kwa kulingana na
kutozwa faini hiyo ambayo ni uonevu kwako.
Akizungumzia kuhusiana na matozo ya kodi hiyo ya sh. 95,000 meneja wa
TRA Arnold Maimu alisema ni tozo la kawaida kwa biashara hiyo ya
bodaboda kwa sababu wao wapo mjini na kipato chao kimekuwa ni kikubwa.
Maimu alisema bodaboda kipato chao kinalingana na biashara
wanayoifanya na kuwa mapato yao yanaelekeana na yale ya Taxes,
alitolea mfano kwa wale walio ajiliwa na wamiliki wa bodaboda na wale
wa Taxes wanawekewa malengo ya 10,000 na kupata pesa hiyo.
Aliongeza kuwa kodi ya mapato ya inalingana na kiwango cha biashara ya
mtu anayoifanya na kupangiwa kiwango hicho cha mapato.
Sasa kodi inayokusaywa ni ya mwaka jana na kukamatwa na ambayo
ilikuwa mwisho wa kodi ilikuwa tarehe 31 mwaka jana na ndiyo inayo
kamatwa sasa.
Alisema kodi ya mapato ya mwaka jana itakuwa mwisho mwezi wa machi 31
mwaka huu na aliwashauri wananchi wote wamiliki wa vyombo vya moto
kuwa walipe mapema kabla ya mwezi huo ili kuepusha usumbufu.