PICHA: WAFUASI WA MAALIM SEIF NA LIPUMBA WAZICHAPA MAHAKAMANI

Wafuasi wa Chama na Wanawanchi (CUF) wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif na wale wanaomuunga mkono Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba wamepigana wakiwa katika eneo la Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es Salaam.
Wafuasi hao walifika mahakamani hapo kwa ajili ya kutolewa kwa uamuzi wa mapingamizi ya wabunge wanane na madiwani wawili wa CUF wanaopinga kuvuliwa uanachama. Mahakama hiyo pia inatarajiwa kutoa maamuzi ya pingamizi moja kati ya manne dhidi ya maombi ya kupinga kuvuliwa uanachama ambayo yaliwekwa na serikali.
C

from Blogger http://ift.tt/2uav6Nf
via IFTTT