Kocha Pluijm afunguka kuhusu uvumi wa kurudi Yanga

Kocha mkuu wa timu ya Singida United, Hans Pluijm amesema kubaki kwake ndani ya timu hiyo kutategemea uamuzi wa mlezi wa timu, Mwigulu Nchemba ambaye alimpeleka kwa lengo la kuifanya timu hiyo kuwa tishio kwenye Ligi Kuu.
Timu hiyo imeondoka mjini Dodoma ilipokuwa imeweka kambi ys muda mfupi ili kuuzoea Uwanja wa Jamhuri.
Taarifa zinasema timu hiyo ngeni Ligi Kuu itautumia kwenye mechi zake za mwanzo wa ligi pamoja na zile watakazocheza na vigogo Simba na Yanga.
Gazeti hili lilizungumza na kocha huyo kuhusu mipango yake kwenye timu hiyo mpya, ambapo moja ya jambo aliloongelea ni kuhusu tetesi kuwa yupo Singida United kwa muda na kwamba atarajeshwa Yanga iwapo George Lwandamina atatimuliwa, jambo ambalo alilikanusha.
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2u9e9ma
via IFTTT