VIDEO: MACHACHE KUTOKA KWA ‘RONALDO’ MFUNGAJI WA HAT-TRICK YA KWANZA NDONDO CUP 2017

Idd Selemani ‘Ronaldo’ amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat-trick kwenye michuano ya Ndondo Cup 2017 baada ya kufanikiwa kufunga magoli matano wakati Misosi FC ikiigaragaza Buguruni United kwa mabao 5-2.
Ronaldo alikabidhiwa mpira kama taratibu soka zinavyosema mchezaji akifunga kuanzia magoli matatu na kuendelea, anapewa mpira na kuondoka nao uwanjani.
Baada ya game Dauda TV ilipata fursa ya kupiga story mbili tatu na Ronaldo kuzungumzia mchezo huo na yeye kuwa mfungaji wa kwanza wa hat-tick ya msimu huu.

from Blogger http://ift.tt/2tIhK6h
via IFTTT