Picha: Lady Jaydee Aonyesha Mjengo Wake Mpya

Mambo yanazidi kumnyookea mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee.
Msani huyo ameonyesha picha za mjengo wake mpya wa kisasa alioujenga ambao upo maeneo ya Kimara Temboni jijini Dar es Salaam.
Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo ameweka baadhi ya picha za jumba hilo na kuandika,
“Jide Ville.” Mashabiki wameanza kujiuliza, je huo ndio mjengo ambao yatakuwa makazi mapya ya Jide na mpenzi wake Spicy kutoka Nigeria?
 ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2rmYfzt
via IFTTT