Hii Ndio Sababu Kubwa ya Paka Kutumika Kichawi Zaidi ya Mbwa..!!!

KWANINI PAKA HUTUMIKA
katika viumbe vya kufugwa na mwanadam,Paka hawezi muona mchawi, ni kipofu kabisa, ndo maana anatumwa, Paka ameonekana kuwa kiumbe kinachotumiwa sana na wachawi na washirikina hii ni kwasababu Paka ana kichwa chepesi, anaelewa haraka na kukariri, paka anaweza tumwa chochote nyumbani kwako, paka anaweza kuja kukuchunguza maisha yako kichawi, mtakubaliana na mimi inaweza ukawa umejifungia ndani au umeleta kitu kwa siri ndani kwako ila utashangaa kibibi kichawi kinakwambia naona umenunua kitu fulani mjukuu wangu. sasa ndo ujiulize kimejuaje wakati kinakaa mtaa wa pili na wewe umeleta kwa siri? paka anao uwezo wa kukamata vitu kwa haraka,wengine watumwao ni ndege njiwa na bundi maana hawaoni uchawi.
MBWA JE YUKOJE?
kwa mbwa ni kinyume kidogo, mbwa anaona wachawi, anauwezo mkubwa sana wakuona uchawi, anakichwa kizito, hawezi tumwa na wachawi maana ataharibu kabisa kwakuwa anaona wachawi wengine, mbwa hafai, wengine hadi humwita mbwa ni najisi, hili ni kwasababu mbwa havumilii kuona majini au wachawi wanakatiza lazima atabweka! mbwa ameonekana kufaa katika ulinzi kwasababu anaona usiku wezi na wachawi. ukiona mbwa anabweka sana usiku nyumbani kwako usipuuzie chunguza lazima utakuta kuna tatizo.wengine wenye uwezo wa kuona ni KUKU na BATA …hao wanaouwezo wa kumwona mchawi…hakikisha unawatumia wanyama wako kukurinda kwa kusikiliza milio yao.

from Blogger http://ift.tt/2sm1DM1
via IFTTT