TzTown Tv: POLISI NJOMBE WAWATIA MBARONI WATU 64 KWA UZURURAJI, ULEVI, USALAMA BARABARANI

JESHI la polisi Mkoani Njombe linawashikilia watu 64 wakiokamatwa katika msako wao wa wazururaji na wale wenye makosa mbalimbali katika stendi ya Mkoa wa Njombe na virabu vya mjini na kusababisha hali ya utulivu kwa wasafiri.
Akizungumza na waandishi wa Habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mrakibu Msaidizi wa polisi SSP John Temu amesema kuwa wameendasha doria za kukamata wazururaji katika stendi ya Njombe.
Wasafiri wanasema kuwa kwa sasa Stendi hapo pana amani Usumbufu kwa wasafiri hakuna na kuomba jeshi hilo kuendelea na usimamizi huo ili hali hiyo idumu.
Je ni watu gani wanahitajika kituo cha mabasi kama wafanyakazi wa Mabasi Temu anaeleza.
TAZAMA MJI ULIVYO SAFI BAADA YA WAZURURAJI KUKAMATWA NJOMBE….

from Blogger http://ift.tt/2rTVwNQ
via IFTTT