Tazama dereva alivyo kutw ana Cheti feki ni wa Ambulance Halmashauri ya..

VYETI feki vimedaiwa kuongeza kazi kwa watumishi na wengine kuhamishiwa vitengo vingine ili kuziba mapengo ya walio kutwa na vyeti feki huku walio na vyeti vyenye mashaka wakiendelea kuwasilisha vyeti vyao ili kupelekwa baraza la mitihani la taifa Necta kwaajili ya Uhakiki.
Katika halmashauri ya mji Makambako kati ya watumishi wenye vyeti feki amebainika ni pamoja na dereva wa Gari ya kubebea wagonjwa na kusababisha dereva kuchukuliwa kutoka ofisi ya utawala, huku idara ya afya ikiongezewa upungufu wa watumishi.
Ni upingufu wa kiasi gani na mahitaji ni watu wangapi wa taaluma ya afya hapa Hospitali ya Makamkako Mganga mkuu Halamashauri ya Makambako anasema.
Madhara ya kuondolewa wenye vyeti feki mganga mkuu wa hospitali ya Makambako anasema kuwa yameanza kuonekana kwa kuongezeka kwa?
Halmashauri ya makambako pekee kunawatumishi 42 ambao waekutwa na vyeti feki na wale wenye vyeti vya mashaka ambapo kwa vyeti feki ni 20 na walio kutwa na vyeti vyenye mashaka ni 4 na wengine 18 vyeti vyao vinaendelea kuhakikiwa.

⇩ ..UBUNGUFU WA WAHUDUMU WAWEKWA WAZA HAPA.....⇩⇩