Roma Atinga Ikulu Kwenye Mkutano wa Rais Magufuli.

Kwa mara ya kwanza Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki na wasanii wengine tangu kuingia Madarakani kwa Rais John Magufuli wameitwa Ikulu.
Roma alionekana Ikulu akiwa bado Mkononi anabendeji aliwekwa kutokana na Majereha aliyoyapata kutokana na mateso aliyoyapata alipotekwa na watu wasiojulikana.
kwa pamoja na wasanii wengine waliimba mbele ya Rais Magufuli wimbo wa Kizalendo juu ya ‘Tuulinde Muungwano’
Wimbo huo uliwakutanisha wasanii takribani wote wa Muziki wa Bongo Flavor.

from Blogger http://ift.tt/2qiVRZj
via IFTTT