Paul Makonda Atumia Mbinu za Kimafia Dhidi ya Vyombo vya Habari Kufikisha Ujumbe wa Taarifa ya Mkoa..!!!

Pamoja na matamko na mikakati ya wana habari na wahariri kwa ujumla wao kuamua kwa Pamoja kutoandika au kutangaza habari za Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es salama kwa sababu kile kilichoitwa uvamizi wa kituo cha Clouds Media TV na redio.
Sasa Paul Makonda ametumia mbinu za kimafia kuhakikisha ujumbe kuhusu maendeleo ya Mkoa yanawafikia wana Dar es salama kwa kufanikiwa kuhojiwa mubashara na Star TV na TBC 1.
Na hiyo hali hiyo imesababisha Sasa hivi mitandao ya kijamii yote kuibuka na taarifa zake kila kukicha na hii itaendelea na Kuna uwezekano ndiyo ikawa ndiyo mwanzo wa kuvunjika kwa makubaliano yaliyokuwepo awali ya kutotoa habari zake kwa wana habari na wahariri ktk majukwaa tofauti!!

from Blogger http://ift.tt/2rT6gfc
via IFTTT