YANGA SC WATOA TAMKO JUU YA KAMATI YA SAA 72

Leo milango ya saa sita kamili ofisi ya katibu mkuu Yanga SC akiwa pamoja na wajumbe wa kamati ya utendaji , walikutana na waandishi wa habari kuongelea juu ya maamuzi na utendaji wa kamati ya saa 72 kwa rufaa mbalimbali zilizowakilishwa wao kubwa ikiwa rufaa ya Simba SC kwa Kagera Sugar.Viongozi hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Yanga SC Mhandisi Paul Malume , wamesema hawana imani na kamati hiyo na kinachoendelea ni kutaka kuvuruga utulivu wa ligi kuu na soka kiujumla .
Tayari wameziangazia harufu na fununu ya kubadilishwa kwa ripoti za michezo ambayo Simba wanasema mlinzi wa Kagera Mohamedi Fakhi alipata kadi 3 za njano .
Kwanza kabisa Salumu Mkemi mjumbe kamati kuu Yanga SC amesema kamati hiyo haina usawa ; ni kamati inayoundwa na zaidi ya wanachama 6 wandamizi wa Simba SC na wao kama Yanga wakiwa na wanachama wawili tu.
” kamati hii imechelea kutoa maamuzi kwa kuandaa ripoti za uongo za michezo dhidi ya Fakhi pia tuna taarifa za kughushiwa email na nyaraka zingine ili kuipa alama tatu Simba SC yenye zaidi ya wajumbe 6 katika kamati hiyo. Kama Yanga tumeanza uchunguzi wetu na kutoa taarifa kwa vyombo husika vya dola pia maamuzi yoyote ya kuibeba Simba tutakwenda mahakamani licha ya sheria za FIFA kukataza hivyo kama hawataki tufike huko lazima haki itendeke. ..” alieleza mjumbe huyo.
“tumeshavijulisha vyombo husika yaani takukuru na watu wa (cyber crime) na TCRA juu ya uchunguzi wa mawasilano ya waamuzi wote waliosika na kutajwa kwenye rufaa hiyo”
Ofisi hiyo imetoa rai kwa wakati umefika wa kuundwa kwa kamati zisizo na masilahi pande yoyote ili kuleta haki katika maamuzi mbalimbali ya soka letu.
” tuache kumtafuta bingwa wa mezani . Sisi tumefungwa karibu mechi tatu na hatujalilia alama za mezani kwanini wao?! Mbona jana wamecheza mchezo mzuri mwishoni na kupata ushindi wa jioni dhidi ya Mbao na hakuna kelele?! tena tunawapongeza kwa come back ile . Hiki ndicho mashabiki wa timu hizi wanakitaka . Ushindi wa uwanjani sio figisu . “
“Tunawapongeza sana kwa ushindi wao wa jana kwa kuonyesha kupambana na kuweza kurudisha magoli mawili na kupata ushindi dhidi ya mbao wapambane hivyohivyo kupata point tatu uwanjani na sio mezani kama wnavyotaka hizo za Kagera Sukari” alieleza Mjumbe Salum Mkemi

from Blogger http://ift.tt/2o5JMoX
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2ot64Vn
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2o5Vpwb
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2ozpGHL
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2puAeFj
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2opvUba
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oAdRkA
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2p9PXKw
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2p7PICA
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2o8y78Y
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2paWC7m
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2p8GMNr
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nHlMNM
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2pwmoC8
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2p9mrrh
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2o98Yf6
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nIaJ6X
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nIp1of
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2nILVMc
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2o9wuZn
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2pyjFIA
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2pdtNXZ
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2pdTbgf
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2nK2rM3
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2ocKotd
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2peFTjs
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/2pz5d2T
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oFbmNO
via IFTTT