Rasmi..Spika Ndugai Afuta Matumaini ya CCM Kuhusu Wabunge wa Chadema Bunge la Afrika Mashariki…!!!

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Job Ndugai ameeleza kwamba nafasi mbili za Ubunge wa Afrika Mashariki (EALA) ambazo hazikujazwa bado ni nafasi za CHADEMA.
Amesema kuwa Katibu wa Bunge ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi atatoa mwongozo ni lini mchakato huo utafanyika.

from Blogger http://ift.tt/2o3Z1AI
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2oLIaoP
via IFTTT

Related Posts