Mbunge wa Chemba Juma Nkamia Amshangaa Mwakyembe Kuhudhuria Press Conference ya Roma

Mbunge wa Chemba Juma Nkamia (CCM) amemshangaa Waziri wa Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Mwakyembe kuhudhuria press conference
Binafsi ya Msani Roma Mkatoliki,na kusema kuwa kitendo hicho kinazidisha maswali mengi Juu ya Sakata hilo.
Chanzo: Mwananchi.

from Blogger http://ift.tt/2omCOzg
via IFTTT


Related Posts