Kwa story za kunyapia nyapia zinadai kuwa harmonize na wolper gambe washabwagana na kila mtu kachukua 50 zake na kwa ubuyu unaosambaa mjini unadai kuwa Dogo kapata mtt mkaliii wa kitaliano anajulikana kwa jina la sarah na tyari yupo mimba….so mda cyo mrefu harmonize ataitwa baba……demu nasikia anamkwanja wa kutosha ndo anaempa jeuri harmonize apa mjini ndo maana kila siku anabadili dinga tu mara Prado mara Audi.
SIKILIZA HAPA:
from Blogger http://ift.tt/2oXbuYI
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2p8Anzp
via IFTTT