“Watu saba wa familia moja katika kijiji cha Kibuhi wilaya ya Rorya mkoani Mara, wamefikishwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara mjini Musoma, kwa ajili ya matibabu, baada ya kula mboga za majani aina ya Mgagani zinazodaiwa kuwa na sumu na kusababisha kupatwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo ya kupoteza fahamu huku baadhi yao wakirukwa na akili na hivyo kuwafanya kukimbia ovyo.
from Blogger http://ift.tt/2poYyZa
via IFTTT