Kimenukaa..Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema Atoa Povu Hili Baada ya Nape Kutumbuliwa Leo Asubuhi…!!!

Mchungaji Peter Msigwa Leo Kupitia Ukurasa wake wa Twitter Ameweka azi jinsi alivyolipokea suala la Aliyekuwa WAZIRI wa Habari sanaa,Utamaduni na Michezo Mhe Nape Nnauye Kutumbuliwa na Rais Magufuli.
Kwa Magufuli bashite ni mhimu na ni bora kuliko Nape ndani ya chama na serikali! Hongera JPM!
TAZAMA JAMAA HUYU ALIVYOKOSWA KOSWA NA KIFO KWA AJARI MTONI

from Blogger http://ift.tt/2ngjbZj
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2nr5uHr
via IFTTT

Related Posts