UTABILI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI YA DISEMBA 5, 2015 KUANZIA USIKU WA IJUMAA

  WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 04/12/2015.


[Mikoa ya Shinyanga, Kagera, Mwanza, Geita na Mara]:
[Mikoa ya Simiyu, Kigoma, Rukwa, Katavi na Tabora]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Njombe, Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Mtwara na Lindi]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Morogoro na Pwani ]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI  VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO YA MIKOA YA MARA, MWANZA, GEITA, KAGERA, KIGOMA, TABORA NA KATAVI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
29°C
16°C
12:17
12:31
D'SALAAM
32°C
23°C
11:59
12:27
DODOMA
32°C
15°C
12:15
12:36
KIGOMA           
28°C
20°C
12:40
01:02
MBEYA
26°C
16°C
12:19
12:53
IRINGA
30°C
15°C
12:12
12:42
MWANZA
26°C
18°C
12:32
12:44
TABORA
30°C
17°C
12:28
12:50
TANGA
34°C
23°C
12:03
12:25
ZANZIBAR
32°C
22°C
11:59
12:27

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 06/12/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 04/12/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.