Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za Binadam,Bi Hellen Kijo Bisimba aliyelazwa hospital ya Agakhan mapema leo kufuatia ajali ya gari aliyoipata mwishoni mwa wiki barabara ya Al-Hassan Mwinyi jijini Dar.

