MWINGULU:MWALIMU NYERERE ANGEKUWEPO,ANGETAPIKA KWA HOJA DHAIFU ZA UPINZANI


Mjumbe wa kamati ya ushindi ya CCM Ndugu.Mwingulu Nchemba,akizungumza na wananchi katika moja ya mikutano ya kampeni inayoendelea.

Akiwa mkoani Mbeya wilaya ya Ileje amewaasa watanzania kutunza kadi za kupigia kura,na kujitokeza kwenda kupiga kura,na Kumchangua Mgombea Urais kupitia CCM Dr John Magufuli.

Msikilize Mwingulu akizungumza na wana Ileje.