Mwanachama wa CCM Jimbo la Mpendae akiwa amevaa vulana yenye ujumbe huooo.........
Vijana wa Jimbo la Mpendae wakishangilia wakati wa mkutano wao wa Kampeni wa Jimbo hilo uliofanyika katika viwanja vya mpira bustani ya migombani.
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe Issa Kassim Issa akiwahutubia Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa mkutano wa kampeni wa Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani uliofanyika katika viwanja vya bustani ya migombani Unguja na kuwaombea kura kwa Wananchi wa Jimbo hilo.