HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI OKTOBA,16 2015

Wanahabari na wahariri wahimizwa kuepuka habari za uchochezi zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchi.

Waratibu wa elimu wakabidhiwa pikipiki 82 Mkoani Lindi kwajili ya kuimarisha  usimamizi wa elimu katika maeneo ya kazi ya mkoa huo, https://youtu.be/nxcOoQrqBUY

Wafanyabiashara wa mboga soko la Sanya juu wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya milipuko  kutokana na dampo sokoni hapo;https://youtu.be/L1lfMcPXB0E  

Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa wanachama wa NLD kufuatia kifo cha mwenyekiti  Dr.Emmanuel Makaidi kilichotokea jana https://youtu.be/1lP8aB7D1Mg

Serikali imeombwa kukaa meza shirikisho la shule na vyuo TAMUSOKO ili kuiendeleza sekta ya elimu Nchini:https://youtu.be/l7iDxu2dTa0

Wazee waiomba serikali kuwapatia huduma za chakula na malazi kutokana na kutojitosheleza kwa huduma hizo katika vituo vya wazee https://youtu.be/zC6LOVPJzGE

Wadau wa madini wakutana kujadili usitishwaji wa matumizi ya kemikali ya Zebaki hususan kwa wachimbaji wadogohttps://youtu.be/PXZTD-cuFrU 

Wadau wa elimu watakiwa kuboresha mazingira ya utoaji elimu ili kuboresha kiwango cha elimu nchinihttps://youtu.be/dsnhhAWaBBM